PROJECT INAENDELEA !! DIAMOND MGENI RAMSI KWENYE WHITE PARTY YA ZARI

Kupitia account yake hiyo Zari ameandika haya:
Proud to announce Diamond Platinumz is our official guest artist at the #ZariAll White CirocParty White is always pure, fab & classy. #FeelingConfident coz I see no competition..... 18th December 2014 @guvnoruganda. Zari amemtangaza Diamond Platnumz ikiwa ni siku chache tu baada ya wawili hao ambao wanadhaniwa kuwa wapenzi kutokana na ukaribu wao na baadhi ya picha za mahaba zilizonaswa mtandaoni kuzagaa na
kuonekana karibu sana hasa kwenye tuzo za Chanel O Music and Video Awarda.
Kupitia accout binafis ya Zari 'Zari the Boss Lady' amemtangaza msanii wa kizazi kipya nchini Tanzania ambaya kwa sasa anatamba na ngoma ya 'Nitampata wapi?' kuwa official guest artist kwenye part ya Zari all white CirOcB'.
No comments