LIST YA WASANII MATAJIRI KWA MWAKA HUU 2014

1. Beyonce Knowles
Imeshikwa na msanii Beyonce ambapo kwa mujibu wa jarida la Forbe amefanya show 95 ambapo kwa kila show analipwa zaidi ya dola za kimarekani $2.4million na zifuatazo ni wengine tisa wanaokamilisha kundi la watu hawa kumi kwa mwaka huu wa 2014
2. Dr. Dre
3. Jay Z
4. Rihanna
5. Katy Perry
6. Bon Jovi
7. Bruno Mars
8. Miley Cyrus
9. Taylor Swift
10. Lady Gaga
No comments