TERRECE J AWASILI DAR NA HAYA NDIO ATAKAYOFANYA

Kwa mashabiki wa mtangazaji Terrence J watapata nafasi ya kukutana na star wao July 12 mida ya saa nane mchana atakapokuwa kwenye duka la A Novel Idea pale Slipway Msasani ambapo ataendesha kliniki ya kugawa bure kitabu cheke cha “The Wealth Of My Mother’s Wisdom” kwa watu 100 wa kwanza . Fahamu hivi vitabu vitawekwa saini ya Terrence J.
Kwa wanaofuatilia filamu zake basi mida ya saa mbili usiku atakuwa kwenye redcarpet ndani ya ukumbi wa mlimani City ambapo ataonyesha filamu yake ya ” Think Like A Man Too”
No comments