Breaking News

VIDEO: KICHUPA KIPYA CHA BABY J

bby jHii video mpya ya Baby J baada ya ukimya wa miaka mitatu bila kutoa kazi kwenye muziki wa bongo fleva na mduara. Hii kazi mpya imetengenezwa na Lil Ghetto wa Akhenato Records na Video ya Adam Juma kupitia Next Level Production.

bofya play kutazama

No comments