Baada ya video ya Mrs.Super Star hii ni video mpya ya Young Killer hapa kamshirikisha Damian Soul,video hii imefanywa na Director Jackson Joachim wimbo unaitwa My Power umefanywa studio mbili nazo ni Classic Sound na Kili Records.
Bonyeza play kutazama
VIDEO: YOUNG KILLER AACHIA VIDEO YA WIMBO WAKE WA MY POWER
Reviewed by moo
on
July 13, 2014
Rating: 5
No comments