JESHI LA POLISI LATOA TAARIFS JUU YA TUKIO LA MOTO ULIOTEKETEZA NYUMBA MWANANYAMALA
Kamanda wa Polisi mkoa wa kIFA JUU YA TUKIO LA MOTOipolisi Kinondon kamishna msaidizi wa polisi Camellius Wambura amethibitisha kutokea kwa moto huo na kusema Moto huo umetokea leo majira ya saa 5 na nusu mtaa wa Malanga eneo la Mwanayamala.
Nyumba iliyotoketea kwa moto imetajwa mmiliki wake kuwa ni mzee abdalah, ambaye alikuwa akimiliki nyumba mbili zilizopakana katika eneo hilo zote zikiwa zina vyumba 12,chanzo cha moto huo kinasemekana ni hitilafu ya umeme.
Wananchi wa eneo hilo wamelalamikia hali ya Kikosi cha Zimamoto na Uokoaji kuchelewa kufika eneo la tukio.
Hizi ni baadhi ya picha hizo za ajali hii ya moto.
No comments