Breaking News

YEMI ALADE KUTUA BONGO KWE TAMASHA LA MATUMAINI

 Mwanamuziki kutoka Nigeria Yemi Alade anatarijiwa kutua Tanzania Tarehe 8 mwezi Agosti mwaka huu.
Msanii huyo ambae ametamba sana na ngoma yake ya "Johnny" ambapo ameamua kuvuka boda zote mpaka Bongo kuja kumtafuta Johnny kwenye "Tamasha la Matumaini".

No comments