Breaking News

TAZAMA PICHA: TRAFKI FEKI AKAMATWA HUKO MBAGALA.... CHAMAZI


         Leo zamu ya trafic kuombwa driving licence Trafic feki akiwa ametaitiwa na Askari polisi baada ya kugundua kuwa sio trafic bali ni raia wa kawaida anatumia jezi za polisi kujipatia kipato. Amekamatwa jana mbagala chamazi jiji dar.
 
Trafic feki akipanda gari ka polisi na kupelekwa kituo cha polisi

No comments