Breaking News

GERRARD ASTAAFU SOKA LA KIMATAIFA

gerrard
Captain wa timu ya taifa ya Uingereza Steven Gerrard ametangaza kustaafu soka la kimataifa baada ya ushindi wa mechi 38 kwenye michezo 114. Mchezo wa mwisho wa Gerrard na timu ya taifa ya Uingereza ulikuwa dhidi ya Costa Rica kwenye Fifa world cup 2014 walipotoka sare ya kutokufungana. Gerrard ambaye ni kiungo wa Liverpool amesema ” Amefurahia kila dakika ya kuitumikia timu hio na ni siku ya uzuni kwake kutangaza kustaafu soka la kimataifa” .
Gerrard anasema ni uamuzi mgumu ameuchukua baada ya kuongea na familia yake alivyorudi kutoka Brazil na anasikitika kutoiva tena jeza ya timu ya taifa ya Uingereza.

No comments