Breaking News

KOCHA WA UJERUMANI ASISITIZA KUWEKA REKODI LEO KWENYE FAINALI ZA KOMBE LA DUNIA

Kocha Joachim Low, amesisitiza Ujerumani haimhofii Lionel Messi hata kidogo katika mechi ya fainali dhidi ya Argentina, leo.
Lakini akasisitiza kuwa, Ujerumani itaweka rekodi ya kuwa timu ya kwanza ya Ulaya kuchukua Kombe la Dunia katika ardhi ya Bara la Amerika Kusini.


No comments