Breaking News

PICHA ZINATISHA: APIGWA SHOKA LA KICHWA BAADA YA KUFUMANIWA NA MKE WA M2

 Mkazi wa kirumba akiwa hospitalini akiwa amejeruhiwa na shoka baada ya kufumaniwa na mke watu usiku wa juzi. Alipigwa shoka la kichwa na kuingia kabisa kama unavyoona kwenye picha hizi tatu.
 Amelazwa katika hospitali ya rufaa ya Bugando jijini mwanza akiendelea vizuri.

No comments