Breaking News

VIDEO:KICHUPA KIPYA CHA YOUNG DEE KAMA LIL WAYNE

ffff
Lil Wayne ni msanii wa Hiphop lakini aliwahi kujaribu kutoa album ya rock ambayo inaitwa Rebirth yenye hit singles kama Knock Out na Porm Queen . Sasa Young D amefanya aina hii hiyo ya nyimbo na video yake imetoka unaweza kuicheki hapa.


Bofya play kutazama

         

No comments