VURUGU:- KANISA LA MOROVIAN JIJI DAR WAUMINI WATAKA KUJITENGA...!!! SOMA ZAIDI
Hili ndio kanisa la Morovian lililopo mwananyamala kwa msisir. sababu za vurugu hizo za kutokuelewana baina ya waumini wazee na vijana kanisani haponi maadai ya kuwa wazee hugawana sadaka zao. adaka hizo huchangishwa kwa waumini muda wa ibada na sadaka hizo wazee hugawana kitendo hicho hakijawafurahisha kabisa waumini wa kanisa hilo lililopo mwananyamala kwa msisir na kuamua wajite kabisa na kusali peke yao bila ya wazee.
Muda mchache uliopita polisi wamewasili eneo la tukio kutuliza vurugu hizo. endelea kutembelea blog hii tukujuze kinachoendelea jinsi tutakavyozipata.



No comments