Diamond akiwa na mama yake mzazi, Sanura Kasim 'Sandra'. STAA wa Bongo Fleva, Nasib Abdul 'Diamond Platnumz', kesho ataachia video zake mbili ikiwa ni zawadi kwa mama yake mzazi, Sanura Kasim 'Sandra' aliyezaliwa Julai 7. Kupitia akaunti yake ya Facebook, Diamond aliandika hivi:
ZAWADI YA DIAMOND KWA MAMA YAKE JULAI 7
Reviewed by moo
on
July 06, 2014
Rating: 5
No comments