Breaking News

BREKING NEWSS..! Msikiti wa Mtambani uliopo Kinondoni unateketea kwa moto hivi sasa.

Msikiti wa Mtambani,uliopo Kinondoni jijini Dar,hivi sasa umeteketea kwa moto na  kusababisha hasara kubwa ya mali zilizokuwemo, Kibonajoro iko kazini na punde itakuarifu kilichokuwa kikijiri eneo hilo ikiwemo pia na kutaka kufahamu nini hasa chanzo cha moto huo,uliowashtua wakazi wengi wa eneo hilo la Kinondoni na kwingineko.


No comments