Breaking News

JESHI LA NIGERIA LATUHUMIWA KUWACHINJA BOKO HARAMU

 


Kuna Taarifa kuhusu Jeshi la Nigeria kuwachinja wanamgambo wa Boko Haram na kuwazika katika kaburi la Pamoja, Habari hiyo bado inachunguzwa na Mashirika ya haki za binadamu duniani na Serikali ya Nigeria kujua kiundani nini hasa kilitokea.

No comments