Breaking News

LADY JAYDEE AJIBU TETESI ZA KUACHANA NA GADNER KWA PICHA YA PETE YA NDOA KIDOLENI


Wanasema picha huongea maneno 1,000. Baada kuendelea na uvumi kuwa ndoa yakena gadner G Habash Imevunjika Muimbaji huyo amepost picha kwenye ukurasa wake wa facebook akionesha pete yake ya ndoa kwa fans wake na kuandika maneno tofauti kabisa maneno hayo ni '"Kucha zimekosa rangi ya OriFlame tu, ili zing'ae zaidi ya hapo'". 

kufuatia kupost picha hiyo mashabiki wake wameonyesha kuwa ni kuvunja tetesi za uvumi wa ndoa yake kuvunjika.
hapa chini ni baadhi ya comment za mashabiki wake.
Bahati Mwakalinga Mungu si mwanadamu alichokiunganisha yeye wanadamu hawawezi kukitenganisha.Go my Zanaki mate

Maua Pearson K Watajiju wanafk wote..lav u jide,mdumu zaid na zaid.

Sophier Muhd gud gud mdada,lazma waelewe....

Mugisha Gervas Csta hapo dongo hilo c kucha wala nn. Naomba dongo hilo liwafikie wadada woooote wa Bongo Movie ambao wanaona huu na muda wa kuuza.

PaJo Mnyamwezi dah! we mwanamke kwel art ipo ndan yako! mana kwa upande wangu sms hapo sio kucha wala nn ni pete tu hasa kutokana na tetec za ndoa yako imevunjika...Hongera mama weng hawajakusoma ulichomaanisha but now nawasanua guyz!!....Heheh

Revo Kway Dada nmekwelewa sana yan watasubiri meli airpot # lady jaydee

No comments