Jaji Lewis Makame amefariki muda mchache uliopita katika Hospitali ya Trauma Centre Masaki, Alikokuwa amelazwa kwa matibabu kabla ya umauti kumfika mchana wa leo, aliwahi kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi,
Mungu ailaze roho yake mahali pema ameen.
NEWS ALERT: JAJI LEWIS MAKAME AFARIKI DUNIA
Reviewed by Unknown
on
August 18, 2014
Rating: 5
No comments