Breaking News

TAZAMA PICHA :KIBAKA ALIYETOROKA KITUO CHA POLISI TABATA, DAR AKAMATWA

Mwizi aliyetoroka kituo cha akiwa chini ya ulinzi wa raia wenye hasira kali maeneo ya vingunguti msimbazi.
Raia wakipanga kumchoma moto kibaka huyo.
Na waandishin wetu
Kibaka aliyetoroka kituo cha polisi Tabata hatimaye kukukamatwa majira ya saa tano asubuhi maeneo ya msimbazi vingunguti na kurudishwa kituoni.

No comments