LINEX KUMTAFUTA HUDDAH MONROE KWA AJILI YA VIDEO YAKE MPYA
Linex ambaye hivi karibuni aliweka wazi kuwa kazi ijayo kutoka kwake itakuwa aliyofanya na Diamond ‘Salima’ amesema ukubwa wa video ya Diamond ‘Ntampata Wapi’ imemfanya acheleweshe utengenezwaji wa video yake.

Kwenye interview na sammisago, alisema “Video ya Diamond ni kubwa sana na imenifanya nibadilishe idea na model wa video ya Salima, nimezungumza na watu waliofanya kazi na Huddah wa Kenya wanasema ata taka dola 2000, nika tayari kumpa, video nimesha mlipa Adam Juma ”
No comments