Breaking News

NICK MINAJ KATOKELEZEA KWENYE JARIDA LA VOGUE ITALIA


Kutoka kwenye jarida la GQ Mpaka V Magazine, rapper Nicki Minaj amefanikiwa kuonekana juu ya kurasa za majarida makubwa duniani mwishoni mwa mwaka huu.

Sasa Minaj yupo kwenye kurasa ya mbele ya Jarida la Vogue Italia,
nicki-minaj-vogue-italia-1 nicki-minaj-vogue-italia-2 nicki-minaj-vogue-italia-3

No comments