Basi la super Najimnisa limepata ajali mbaya baada ya mipira ya matairi kupasuka,unaambiwa wapo baadhi ya waliokufa na majeruhi ni wengi sana na bado hatua za kuokoa bado zinaendelea muda huu,
BREAKING NEWZZ: BASI LA SUPER NAJIMNISA LAPATA AJALI NA KUUA MKOANI SHINYANGA
Reviewed by moo
on
July 22, 2014
Rating: 5
No comments