Breaking News

PICHA: STUDIO MPYA YA SHEDDY CLEVER

Mwanzoni mwa mwezi wa sita mwaka huu producer Sheddy Clever alitangaza kuweka vifaa vya studio sokoni na kusema kuwa anampango wa kuingiza vifaa vipya kwaajili ya studio mpya. July 22 2014 Sheddy Clever amefanikiwa kuhamishia studio yake ya Burn Records maeneo ya Sinza nyuma, Mkabala na mlimani city kwenye round about ya kanisa la kakobe jirani tu na bar ya Katarunya.
DSC_1465DSC_1467DSC_1468DSC_1470DSC_1471DSC_1482DSC_1488DSC_1514DSC_1520DSC_1527DSC_1532
>>SAM MISAGO.COM

No comments