FEZA KESSY APATA SHAVU LA WIMBO WAKE KUPIGWA MTV BASE
Aliniambia kuna zile video huwa zinachezwa usiku sana na inakua mara moja kwa siku, hizo zinakua zimetii masharti yanayotakiwa lakini hazikufikia kwenye kilele kinachotakiwa ndio maana zitapata nafasi ya kuchezwa mara mojamoja lakini zile nyingine kali ndio utakuta zinachezwa hata mara tatu kwa siku, asubuhi mchana na jioni.
Hongera kwa Mtanzania Feza Kessy ambae amepata time ya kuchezwa kwenye Big Base Breakfast ya MTV BASE ambapo kwenye time hiyo pia ziliambatanishwa hits nyingine kama kolabo ya Snoop Dogg na Jason Derulo, Nicki Minaj na Sauti Sol ‘sura yako’
Moja ya vigezo vinavyotumiwa na TV hizi kubwa kupokea video za Wasanii ni video yako inatakiwa kuwa bora kiasi kwamba ya Nicki Minaj ikichezwa alafu ikafata yako kusionekane kuna utofauti wa ubora kupishana
>>ayo.com
No comments