Breaking News

HUYU NDIO SHABIKI WA KWELI WA DIAMOND PLATNUMZ MCHEKI HAPA ALICHOFANYA


Ushabiki hauna mipaka kwenye mambo mengi ya burudani, michezo na hata siasa. Huyu anajiita shabiki namba moja wa msanii wa bongo fleva Diamond Platnumz na kwa mapenzi ya ukweli jamaa amechora tattoo ya jina la msanii huyu kwenye kifua chake. Haijulikani kam ni tattoo ya muda mrefu au ya muda mfupi.

 diamond noma

No comments