MSAIDIZI WA RAISI WA NIGERIA AWAKEA BOKO HARAM KWA JINA LA YESU
Dunia ikiwa inaendelea kupambana na matukio ya Kigaidi kila kukicha huku watu wasio na hatia wakiendelea kupoteza maisha, Nigeria ni moja kati ya nchi ambazo ziko kwenye wakati mgumu wa mapambano hayo.
Doying Okupe ambaye ni msaidizi Maalum wa Rais katika Masuala ya Umma Nigeria ameandika katika ukurasa wake wa twitter kuomba sala kwa maadui wote wa nchi hiyo wakiwamo wale wanaoshirikiana na kundi la kigaidi la Boko Haram kuadhirika
As God liveth in this Dec All d enemies of Nigeria,Sponsors& Sympathisers of BH will be exposed & put to Shame in the Name of Jesus.
— Doyin (@doyinokupe) December 1, 2014
No comments